Chanjo ya Vitamin “A” kwa watoto
Kuanzaia juma tatu ya tarehe 3/6/2019 mpaka tarehe 3/6/209 tutatoa matone ya vitamin “A” na dawa za minyoo kwa watoto bure.
Watoto ni wale wenye umri wa miezi sita (6) mpaka umri wa miaka (5) mitano.
Wote mnakaribishwa .
Leave a Comment
(1 Comment)
Oky ,Tupo pamoja
Recent Posts
Recent Comments